Wakazi wa Mavindini Makueni wataka majibu kuhusu uharibifu unaodaiwa kusababishwa na ulipuaji mawe

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 16 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wakazi wa Mavindini, Kaunti ya Makueni, wameitaka serikali na wasimamizi wa mradi wa Bwawa la Thwake linaloendelea kujengwa kuwapa majibu kuhusu uharibifu wa nyumba na mali wanaodai ulisababishwa na shughuli za ulipuaji wa mawe katika eneo hilo la ujenzi wa bwawa hilo

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%