Wizara ya Utalii yahimizwa kupanua utoaji wa vyeti kwa wahudumu wenye uzoefu
Community Score: 50% | 222 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Wizara ya Utalii imehimizwa kuendelea kuunga mkono na kupanua mipango ya kutoa vyeti kwa wahudumu wenye uzoefu katika sekta ya utalii na ukarimu, ili kutambua ujuzi walioupata kupitia kazi na uzoefu wa muda mrefu.Wito huo unatolewa huku zaidi ya wahudumu mia mbili katika sekta ya utalii na ukarimu katika Kaunti ya Nandi wakipokea vyeti baada ya kukamilisha mafunzo na tathmini ya ujuzi katika Chuo cha Kitaifa cha Kaib
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%