Waumini 16 na dereva waliokufa Salama waombewa katika ibada ya wafu Mombasa

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 1.7K views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Ibada ya wafu ya kuwakumbuka waumini 16 na dereva walioangamia katika ajali ya barabarani huko salama kaunti ya makueni inafanyika hii leo huko mikindani kaunti ya mombasa. Mamia ya waumini wa kanisa katoliki la st mathias mulumba , jamaa na marafiki wamekusanyika katika uwanja wa michezo wa mikindani kwa misa hiyo.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%