Katibu wizara ya mawasiliano Stephen Isaboke aongoza upanzi wa miti Kisii kuelekea Siku ya Mazingira
Community Score: 50% | 188 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Katibu katika wizara ya mawasiliano Stephen Isaboke anaongoza wadau katika sekta mazingira kwenye shughuli ya upanzi wa miti katika shule ya msingi ya Chirichiro, wadi ya Ibeno kaunti ya Kisii. Shughuli hiyo iliyoanza mapema Ijumaa ikiwa mojawapo ya mikakati ya kujiandaa kuadhimisha siku ya mazingira hapo Kesho.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%