Ripoti ya Marekani yadai maafisa wa Kenya kuhusika na ulanguzi wa binadamu

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 6d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Ripoti ya hivi punde kuhusu ulanguzi wa binadamu, iliyotolewa na Wizara ya mambo ya nje ya serikali ya marekani, inaonyesha kuwa maafisa wakuu wa serikali ya kenya wanahusika na biashara hiyo haramu. Ripoti hiyo inasema kuwa baadhi ya maafisa wa wizara ya leba walihusika kwenye usajili wa wakenya kupigana katika vita vya Russia na Ukraine na ni wanahisa kwenye muungano wa mawakala wanaowasafirisha wakenya wanaoteswa katika mataifa ya mashariki ya kati.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%