Watu wanne wakamatwa kwa madai ya kuwachoma watoto kwa maji ya moto Bondo

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 80 views | 6d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Watu wanne wamekamatwa katika eneo la Bondo, kaunti ya Siaya, kwa tuhuma za kuwachoma watoto wanne kwa maji ya moto. Washukiwa hao, akiwemo kiongozi wa kanisa la St. Abraham Israel Assemblies of God, wanadaiwa kukiri kuwachoma watoto hao kwa kisingizio cha kuwatoa mapepo. Maafisa wa idara ya huduma za watoto kwa ushirikiano na polisi waliwaokoa watoto watatu waliokuwa wamefanyiwa ukatili huo, huku kanisa hilo likifungwa.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%