Wakazi wa kaunti ya Trans Nzoia wahimizwa kupima afya mara kwa mara
Community Score: 50% | 204 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wametakiwa kuzingatia umuhimu wa kupima afya zao mara kwa mara ili kukabiliana na magonjwa sugu na kubaini maradhi ambayo huenda yakawa yamefichika bila kuonyesha dalili za wazi. Wito huo umetolewa katika siku ya tatu ya Maonyesho ya Kilimo ya Kitale, ambapo wadau wa sekta ya afya wanasisitiza kuwa uchunguzi wa mapema ni muhimu katika kuzuia madhara makubwa ya magonjwa.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%