Ukataji wa miti katika msitu wa Aberdare wazua wasiwasi kuhusu vyanzo vya maji
Community Score: 50% | 0 views | 5d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Huku maadhimisho ya Siku ya Mazingira yakiendelea nchini, ukataji wa miti katika msitu wa Aberdare umezua mjadala huku wakazi na viongozi wa Kaunti ya Nyandarua wakielezea hofu kuwa shughuli hiyo inaweza kuathiri mazingira na vyanzo vya maji. Hata hivyo, kama anavyoripoti Gatete Njoroge, Idara ya Misitu inasema uvunaji wa miti katika msitu huo unatekelezwa kwa mujibu wa sheria. Idara hiyo inaeleza kuwa miti inayokatwa imefikisha umri wa miaka 30, ili kutoa nafasi kwa miche mipya kukua.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%