Vijana wahimizwa kujiandikisha kama wapiga kura kuelekea uchaguzi wa 2027

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 304 views | 4d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Vijana wanahimizwa kujiandikisha kama wapiga kura na kuepuka hali ya kutojihusisha na uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2027, huku kukiwa na wasiwasi kuwa madai ya uwezekano wa uchaguzi kuibwa yanaweza kudhoofisha imani ya vijana katika mchakato wa uchaguzi.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%