Rais Ruto akosoa pendekezo la Sakaja kuhusu ushuru wa nyumba, aapa kushinda upinzani
Community Score: 50% | 136 views | 3d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Rais William Ruto amemshambulia seneta wa Nairobi ambaye pia ni mgombea wa urais wa muungano wa Linda Mwananchi, akisema pendekezo lake la kuondoa ushuru wa nyumba utawanyang'anya maelfu ya wakenya nafasi za ajira.akizungumza katika kaunti ya elgeyo marakwet, rais Ruto alisema atawaonyesha cha mtema kuni viongozi hao wa upinzani katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%