Kaunti ya Nakuru yaadhimisha siku ya kimataifa ya kupunguza athari za majanga
Community Score: 50% | 452 views | 2d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya majanga duniani, katika Kaunti ya Nakuru sherehe za kitaifa zinafanyika. Gavana wa Kaunti hiyo Susan Kihika anaongoza sherehe hizo huku makundi tofauti yakipata nafasi ya kuonyesha yalivyojiandaa kushughulikia matukio ya dharura, hasa mvua ya El-nino inayotarajiwa.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%