Wanamazingira washangilia kusitishwa kwa ukataji miti msitu wa Aberdare

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 1d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Saa chache baada ya Mahakama ya Mazingira na Ardhi mjini Ol Kalou, kaunti ya Nyandarua, kusitisha ukataji miti katika msitu wa Aberdare, utekelezaji wa amri hiyo ulionekana kuendelea mashinani huku lori lililokuwa likisafirisha magogo likinaswa. Wanamazingira wameshangilia uamuzi huo huku wafanyabiashara wa mbao kutoka maeneo ya Mlima Kenya wakielezea wasiwasi wao.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%