Vyuo vya kiufundi Uasin Gishu vyafunza lugha za kigeni kuwaandaa wanafunzi kwa ajira za ughaibuni

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 298 views | 1d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Taasisi mbalimbali za elimu ya juu na vyuo vya kiufundi vya kitaifa katika kaunti ya Uasin Gishu, vimeanza kuzamia ukufunzi wa lugha za ughaibuni ikiwemo kijerumani, kifaransa na kimandarini, ili kuwaanda maelfu ya wanafunzi kwa ajira za ughaibuni. Hata hivyo mchakato huo unakumbwa na changamoto tele kama vile uhaba wa wakufunzi wakufundisha lugha hizo.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%