Marafiki wa Raila waeleza kumbukumbu zao kuhusu uhusiano wake na wananchi
Community Score: 50% | 1.0K views | 1d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Mwaka mmoja baada ya aliyekuwa waziri mkuu wa pili Raila Odinga kuaga dunia, wasifu wake bado unatajika katika pembe zote miongoni mwa viongozi na wafuasi wake wa kisiasa. Kwa wengi, Odinga alikuwa sio tu mwasiasa, bali rafiki aliyeenzi utamaduni na kutangamana na watu wa kawaida.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%