Maelfu ya watu wamiminika Bondo kumuenzi Raila mwaka mmoja baada ya kifo chake
Community Score: 50% | 3.7K views | 1d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Maelfu ya Wakazi wa eneo la Bondo na viunga vyake wanaendelea kumiminika katika uwanja wa Migwena kuadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha Raila Odinga. viongozi na wageni mbalimbali wa humu nchini na kimataifa wanatarajiwa kuhudhuria hafla hiyo. Familia ya hayati Raila Odinga na wakazi wanatumai kuw aviongozi wanaohudhuria hafla hiyo watatumia fursa wanayopewa kuliunganisha taifa badala ya malumbano ya kisiasa.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%